Tangu zamani nasaka ridhiki nakomaa na muvi mziki ilimradi nipate - TopicsExpress



          

Tangu zamani nasaka ridhiki nakomaa na muvi mziki ilimradi nipate chuma noti aaaah huu ni mziki wengne sii tunadhiki nasahau yote ya nyuma siwezi ludia matapishi.akisema naambiwa meng nayajua mungu ndo anatoa nasiwezi kumloga najuaah. Wanasema nilidi gungaa maisha yamenishinda na mm nasaka mavumba nasema sirudi nakomaa nahili jiji la dar Pumzii ni bureeh sasa tatizo nini unataka mii unijue ili upate kutapa na mm mjanja najua kuzisaka sijachoka mungu ni jalie nisiweze dondoka na wenye majungu hawaishi kulopoka haaaaah kusema sema vidole kunyosheana kumepitwa na wakati nakama ww msakaji basi punguza unafiki na kufiscasi watu haaaaah message derived
Posted on: Thu, 19 Sep 2013 12:02:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015