UKATILI WA KUTISHA...!!! HIVI NDIVYO WAFUASI WA RAIS ASSAD WA - TopicsExpress



          

UKATILI WA KUTISHA...!!! HIVI NDIVYO WAFUASI WA RAIS ASSAD WA SYRIA WANAVYOUAWA MBELE YA WANANCHI..... Askari wa kundi la ISIS akimwekea jambia shingoni mmoja wa wafuasi wa Bashir al-Assad kabla ya kumkata kichwa. Baadhi ya mateka wanaomuunga mkono Rais wa Syria, Bashir al-Assad, wakiwekwa eneo la machinjioni. Mmoja wa askari akiinua juu jambia kumkata mfuasi wa Bashir al-Assad. Mtoto mdogo raia wa Syria akiangalia mwili wa mfuasi wa Bashir aliyekatwa shingo. Watoto wakishuhudia mwili wa mfuasi wa Bashir aliyekatwa shingo. Baadhi ya mateka wakisubiri kuuawa. WATU wanaomuunga mkono Rais wa Syria, Bashir al-Assad, wamekuwa wakikamatwa na kuuawa mbele ya wananchi. Mauaji yamekuwa yakifanywa kwa njia mbalimbali...
Posted on: Wed, 18 Sep 2013 21:55:45 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015