Ukiiba kupitia mtandao mfano umehamisha hela ya mtu kupitia simu - TopicsExpress



          

Ukiiba kupitia mtandao mfano umehamisha hela ya mtu kupitia simu (mpesa, tigopesa etc) yake au internet banking kwenda kwako jua sheria za bongo hazikubani na huwezi fungwa maana hakuna sheria ya kimtandao iliyopo inayokubana kwa wizi huo wa kimtandao (cyber crime). Sheria zilizoachwa na waingereza ndio zinatumika bado japokuwa huko uingereza wameshazibadili na zinawabana wezi wa mtandao. Hapa bongo utahukumiwa kwa sheria ya wizi ambapo kisheria wizi ni pale unapochukua kitu cha mtu na kuondoka nacho moja kwa moja. Hivyo ukishitakiwa kwa kosa hilo ww jitetee kuwa ulihamisha kwa muda tu utarudisha. Learning at the first Tanzania ICT security. Cyber security session
Posted on: Tue, 19 Nov 2013 13:39:42 +0000

Recently Viewed Topics




© 2015