Umeamkaje hapo ulipo mpenzi wa RFI Kiswahili, karibu kuwa nami Ali - TopicsExpress



          

Umeamkaje hapo ulipo mpenzi wa RFI Kiswahili, karibu kuwa nami Ali Bilali nimekuandalia habari kuhusu Wafuasi wa kiongozi aliondolewa madarakani na jeshi la nchini Misri wameendelea kutowa wito wa kuandamana zaidi nchini humno kuwashinikiza viongozi wa kijeshi kurejesha utala wa rais mohamed Morsi. Viongozi wa Jumuiya kiuchumi ya nchi za kusini mwa Afrika SADC wanaendelea na mkutano wao leo kujadili kuhusu mzozo wa Madagascar na ule wa jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo. Na serikali ya Mexico imetangaza kumkamata kiongozi was mtandao wa walanfguzi wa madawa ya kulevya ambaye alikuwa anatafutwa kwa udi na ubani na Marekani.
Posted on: Sun, 18 Aug 2013 04:46:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015