Unajua by the way umeniboo sana. Ka huo ndo ubeshte. afadhali - TopicsExpress



          

Unajua by the way umeniboo sana. Ka huo ndo ubeshte. afadhali uishe. Umespread bad rumour kunihusu na hiyo stori haijanibamba. ......Sa unaambia wasee ati mi ni sonko so wat? Unadai ati nilisaidia jay-z kulipa maternity bill ya bibi yake,mara unadai ati bill gates ameniomba loan juzi, jana ukasema nilipeleka oprah winfrey lunch. Mimi nilikuwa wapi na kibaki 2kicheza golf? C uulize rihanna na Chris brown coz 2likuwa nao 2kichapa story.nyc evng
Posted on: Sun, 01 Dec 2013 16:17:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015