Unakumbuka ukifanya Math exam halafu: ◆ Watu wanatoa ruler but - TopicsExpress



          

Unakumbuka ukifanya Math exam halafu: ◆ Watu wanatoa ruler but wewe huoni place ina apply... ◆ Watu wanaitisha extra paper na wewe umemaliza na paper haijafika halfway... ◆ Umepewa graph paper na unarudisha kama hujaitumia... ◆ Watu wanachora diagrams na pencil, wewe hujui nini inachorwa but pia unatoa pencil ndio uache kushtuka... ◆ Mnaulizwa nani amemaliza,unaamka unajipata uko solo,unafil aibu hadi unaketi... ◆ Desk mate akiomba rubber na ulikuwa umecopy almost kila kitu unashindwa uanzie kurub wapi... ◆ Lakini kuna maswali mbili zenye ulikua unajua, na hizo ulikua SURE sure....ma full names na date..
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 11:50:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015