Utagundua Kwenye Huu Ulimwengu Hamna Mtu atakaye Poteza(lose) au - TopicsExpress



          

Utagundua Kwenye Huu Ulimwengu Hamna Mtu atakaye Poteza(lose) au atakaye Gain(Faidika) Baada ya haya Maisha ya Mwili,Ukifa Tu kama ulikuwaDr,Prof,Raisi,Rev,sheik,Boss,Mfanyakazi,Changudoa,Jambazi,MkurugenzI,masikini,Unamatatizo ya Kiakili(chizi wa barabarani) Hamna Mtu atakaye mzidi mwezake,Kwani Ukifa Tuu,Unahesabu sifuri Vyote Hivyo title za Hapo Juu,Roho Pekee yake inaendelea na maisha yake kama Kawaida. Wengi wanapenda Kupigania Vya Dunia na kutaka Kupora Vyote na Kutaka Kuona wengine Kuwa ombamba kwao,kuwaheshimu kwa kupiliza sana wao,Kuwa mnyonge na masikini wa Mali kwao.Je Kuna raha gani Ukiwa wewe Ni Tajiri na walio kuzunguka wote ni masikini???? Muhimu Kuwaheshimu Kila Mtu Hapa Ulimwenguni,hata Machizi wa Barabarani Wewe Huajmzidi Kitu Chochote,Pindi Tuu Ukifa Yeye na wewe mnakuwa sawa,Hamna aliyepoteza au Faidika kwa vya dunia.Tuheshimu Kila Mtu Kwani Hivi vifaa ni vya muda Tuu. Tuheshimu Utu,Tuheshimu Ubianadamu,Tuheshimu Ile hali ya mtu Kuwa Mwanadamu. Regards
Posted on: Sun, 23 Jun 2013 14:53:54 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015