Uzuri wa FB bwana kila mtu SuperMan/Human/Gal/Woman aka SUPER - TopicsExpress



          

Uzuri wa FB bwana kila mtu SuperMan/Human/Gal/Woman aka SUPER STAR, »Utaona mtu kakurupuka Tu anapost; “Samahanini jamani msione kimya siwajibu INBOX zenu niko bize” •6 hours ago •0 Like · 0 Comment · 0 Share · More »Au utaona; “jamani kama mtu anaswali aulize niko Free now” •8 hours ago •0 Like · 0 Comment · 0 Share · More »Mara; “Ooo jamani mnaoniibox muuinbox vya maana” •11 hours ago •0 Like · 0 Comment · 0 Share · More #Sasa kama wewe kweli Mali aka Kimba la mzungu mbona kwenye status ya kawaida ukiongea ivo .No like, no coment? :TUNAFUNGANA UPEPO TU:
Posted on: Mon, 18 Nov 2013 12:32:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015