VIBANDA. Version,,, Sa madame Tutaoa akina Nani Kama Hizi ndo - TopicsExpress



          

VIBANDA. Version,,, Sa madame Tutaoa akina Nani Kama Hizi ndo Vituko Zenyu 1.Dame anaamka anakula breko alafu anaweka movie..anawoch na sa hio Vyombo zmejaa kwa sink nyumba aijaoshwa etc..mzazi/huzy anakam jioni anapata unawoch movie tu. Utakula Movie?? 2.Dame Friday ikifka yeye ndio Mama yao kwa Rave..anakunywa mpaka anawekelea panty ju ya kichwa..mafegi ndo zake na kila kitu. Sa ww ukikunywa ivo na mi nkunywe ivo ivo nani atalea watoto?? 3:Dame anaamka after kutake breko anaenda kwa beshte zake..na kumbuka ameolewa!musheene mpaka jioni. una expect nkirudi jioni nkupigie makofi?? 4.Dame umejitolea ju yy ni hustler na ww uko waks unamuachiaga doh(soo Tano daily) ju mnaishi pamoja ukirudi jioni dame amebuy machipo na....See more
Posted on: Mon, 07 Oct 2013 10:47:55 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015