VIROJA VYA KAKA MWAMBUI ....(STOLEN) NOMA SANA...... Noma! Dog: - TopicsExpress



          

VIROJA VYA KAKA MWAMBUI ....(STOLEN) NOMA SANA...... Noma! Dog: sasa paka? Cat: poa sana. kulost nayo! Dog: eeh ni vile demand yangu iko juest. na wee je? Cat: whoa! usitake jua.uskii mimi nilingia kwa mtungi! Dog: sasa wewe ni wapi huko uliingia? guess mimi niliingia wapi....... Cat: pwahahaha! enyewe wewe ni mnoma. uliskia aje? Dog: poa bt serikali ilinionea kwanza wakati...... tena saa hii wife alibaki huko limuru. naye akakiona alisema heri mimi cz nilikuwa namhurumia. Pig: kuingia bunge nayo. sema face painting! Cow: kiambu mimi na hama sasa cz wasee wataniharibia bizna ya ku- advertise maziwa. Punda: sema sisi kuwa kitoweo! Goat:(frm mandera) gurunneti nayo! Kuku:(frm nyeri) sasa mimi niko PG Sheep: wacha mimi nikitoe cz labda mimi ndio coming soon ..........alama ya dukuduku
Posted on: Sat, 20 Jul 2013 06:52:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015