#VUNJA_MBAVU_THREADS: Kuna mzee m1 alkuwa amekaa kijiweni,mara - TopicsExpress



          

#VUNJA_MBAVU_THREADS: Kuna mzee m1 alkuwa amekaa kijiweni,mara akawa anapita dada m1 mrembo.Mzee akaduwaa kumuangalia, mzee akaamua kuvunja ukimya na story ikawa hivi: #MZEE:Dada samahani mara moja! #MDADA:Bila samahani! unasemaje? #MZEE:Kwa kweli! dada umependeza sana...lakini umekosa kitu kimoja tuu... #MDADA:Enhee! mzee kitu gani hicho!!? #MZEE:Walah! "HAUNA NAMBA YANGU YA SIMU".... gonga LIKE,SHARE au COMMENT ukiweza!!
Posted on: Tue, 01 Oct 2013 06:53:02 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015