Vitu vya lazima kuwa umevitimiza at the age 40: 1. Kuwa ndani ya - TopicsExpress



          

Vitu vya lazima kuwa umevitimiza at the age 40: 1. Kuwa ndani ya ndoa. 2. Kuishi kwenye nyumba yako mwenyewe. 3. Kuwa na watoto (wawili+) 4. Kumaliza michakato ya msingi ya formal education unless uwe academician, Degree, MBA, Professional certification, 5. Kama ni muajiriwa, kuwa kwenye supervisory au senior position. 6. Kama umejiajiri, kuwa na profit making, professionally managed business. 7. Kuweza kujidhibiti unywaji wa pombe. 8. Kuwa na kitambi decent.
Posted on: Tue, 09 Jul 2013 12:25:15 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015