WAKATI Serikali ya Tanzania ikiendelea na maandalizi ya kupokea - TopicsExpress



          

WAKATI Serikali ya Tanzania ikiendelea na maandalizi ya kupokea msafara wa watu 700 waliotarajia kuingia nchini kwa ziara ya Rais wa Marekani Barack Obama, Rais huyo amesitisha safari yake. Ikulu ya Marekani imetangaza kwamba msafara wa Rais Obama kuja kutembelea Bara la Afrika haitakuwepo tena,baada ya serikali ya nchi hiyo kukosa fedha itakayoweza kugaramia safari ya Rais huyo. chanzo: habarimpya
Posted on: Sat, 15 Jun 2013 03:54:12 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015