WANAUME, HIZI TABIA ZIKOME AMA NIWAROGE -Kama bado unapeleka bibi - TopicsExpress



          

WANAUME, HIZI TABIA ZIKOME AMA NIWAROGE -Kama bado unapeleka bibi yako shopping, hehe boss tafadhali ulioa usaidiwe, na uache ujinga, magoti ya siafu wewe -kama bado unarudi home by 5pm na umeo, hehe kwani unatoka shule fuda ii, ebu una2aibisha! -kama bado unaoga daily, hehe kwani utashika mimba usipooga? Mwanaume ni kunuka! -kama bado unaishi kwenyu at 25yr, hehe ngetai wewe -kama bado unashinda kwa nyumba sato na ligi inaanza kesho, hehe hii ata si kurogwa -kama bado unashinda ukiinsist umependa dame na hakutaki, hehe boss, matako ni mingi zinakungoja! Na si tafadhali #sunguch
Posted on: Fri, 16 Aug 2013 13:50:30 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015