WATU 44 WAUWAWA NIGERIA Watu wanaodhaniwa kuwa ni waislamu wenye - TopicsExpress



          

WATU 44 WAUWAWA NIGERIA Watu wanaodhaniwa kuwa ni waislamu wenye itikadi kali wameshambulia kijiji na kuwauwa watu 44 huko kaskazini mashariki mwa Nigeria mapema wiki hii.(24.08.2013) Taarifa zinasema unyama huo umefanyika katika kijiji cha Demba kilichopo karibu na mji wa Baga kaskazini mwa jimbo la Borno, sehemu iliyokuwa ngome ya kundi la Boko Haram.soma zaidi>>>mussashimba.blogspot/2013/08/watu-44-wauwawa-nigeria.html#links
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 17:37:14 +0000

Trending Topics



min-height:30px;">
Yay finally I get a number!! 9 things you might not know about
E no encontro da madrugada da nossa mentoria, o texto que Deus
لا يا قلبي الشحرورة صباح من ليلة

Recently Viewed Topics




© 2015