WEWE MUNYUNYIZI WETU.. NYUNYIZIA NCHI YA KENYA BARAKA ZAKO NA - TopicsExpress



          

WEWE MUNYUNYIZI WETU.. NYUNYIZIA NCHI YA KENYA BARAKA ZAKO NA MARAFIKI WOTE....... Baba mwenyezi na mwenye huruma miingi,,,tunakutukuza na kusema hakuna aliye kama wewe. Pokea sifa zetu asubuhi ya leo kwa yale yote umetenda juu ya maisha yetu. Baba tunazidii kuikabidhi hii Nchi yetu ya Kenya mikononi mwako,,, na zaidi Rais Uhuru Kenyatta. Kuna mangumu ameyapitia kutoka achukue usukani na bado unazidi kumtia nguvu. Tunakuomba usimame na yeye maanake adui amepanga kumumaliza. Tunajua hii ushindi haikuwa ya mtu mmoja mbali ilikuwa ushindi wa Nchi yetu. Tunakuomba utuondolee yale yote shetani amepanga juu ya hii Nchi. Wale wote wameipangia pia tunakuomba uwaondelee roho wote mchafu na uwape roho wa kushirikiana na wengine. Wewe ni Mungu pamoja nasi na hutatuacha milele. Tazama marafiki wangu wote na uwatendee mema. Wainue kadri na mapenzi yako, pia hata maadui tunawakabidhi mikononi mwako tukiomba waishi maisha marefu ili waone ukituinuua. Bariki hii siku ya leo na utupe roho wako matakatifu ili aandamane pamoja nasi. Nani katika jina la Yesu tumeomba,,amina.
Posted on: Thu, 15 Aug 2013 03:21:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015