Wah...aki niko depressed!!! Leo nimeingia mat na njugu zangu - TopicsExpress



          

Wah...aki niko depressed!!! Leo nimeingia mat na njugu zangu kama kawaida nikienda home...sema nyege kupanda. Ghafla bin vu, mrembo flani ameumbika kuruka akaingia akakam kuketi karibu na mimi. Sura nayo! alikuwa anakaa kama dolphine albino....msawa wa wa wa! Mi na kiherehere yangu nikaanza kumwongelesha. Sema kiswahili kuchapa ukuta...hadi nikaanza kudhani ni mdomo yangu inanuka zile njugu. 5mins later, conductor akaanza kuchukua dough...kadame akaanza kuniangalia ka anasmile. Nikajua leo nimeangukia ikuss. Sema kupea conductor 100 (dough nilikuwa nayo yote) na kumsho akate watu wawili huku kwa akili nikijua nitadoz kwa miss babes. Nikamchapia story haziko - zake zilikua ma lol, omg, hehehe sauti nyororo ka ile paka ya mtungi. 15 mins later, funda flani ikacome ikamtap kwa shoulder na kumsho...beib, tumefika. Kumbe alikuwa boy wake..NKT!! Sasa sina fare ya kesho na tarimbo ni moto. NKT
Posted on: Mon, 25 Nov 2013 15:59:23 +0000

Trending Topics



de casquettes des Expos sur des têtes
Gems of Saint Lucia was delighted to experience the Tulip Festival
argin-left:0px; min-height:30px;"> PAK PAK! Basta mag sigi ug SELFIE naa muy disorder! I absolutely

Recently Viewed Topics




© 2015