Wakenya wezangu viongozi wetu hututumia kama mikokoteni ya kubeba - TopicsExpress



          

Wakenya wezangu viongozi wetu hututumia kama mikokoteni ya kubeba taka, tusipo jitoa kwa huu utumwa ,watoto wetu wenye uwezo wa kuiongoza jamii ambao wazazi wao hawakuwa viongozi hawatapewa nafasi ya uongozi. Sio eti naonea Mutula Junior wivu lakini hafai kuongoza watu wa Jimbo la Makueni ; Sababu ameombwa agombania kiti hicho cha useneta na viongozi wa Muungano wa kidemokrasia((CORD). Kiongozi anafaa kuwa mwenye kujiamulia, pili uongozi si ufalme wa kupitisha kwa mototo, mjukuu,k itukuu…(Nakubaliana na mawazo ya #AdolfHitler wa Ujerumani miaka ya 1930s).
Posted on: Sat, 20 Jul 2013 07:31:28 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015