Yaani Wanaume wengine ni Feki kabisa na kwa kweli mnatuaibisha kwa - TopicsExpress



          

Yaani Wanaume wengine ni Feki kabisa na kwa kweli mnatuaibisha kwa uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo kuliko mbegu ya Uyoga...! Yaani unakaa na mtoto wa watu miaka 5 uchumba, ushamfunuafunua mtoto wa watu kama Sufuria la Pilau msibani, unamjua mwili wake kama unavyojua mabeti ya wimbo wa Taifa, mtoto wa watu amekunja nne ametulia anajua ndoa inafuata soon halafu wewe ghafla tu unakuja kumzingua na kutangaza ndoa na mtu mwingine...! Akikuuliza sababu ya kumuacha yeye mataa unasema siwezi kuoa Mwanamke hajui kukatika kitandani nataka kuoa fundi wa kumiliki kitanda, Ulimfundisha? Kwani unaoa mtu wa kujenga Familia au unaoa mke wa kwenda kufungua bendi? Maana kama nia yako ni kupata mke anayekatika basi ungeenda kuoa Wanenguaji kwenye bendi...! Mnaumiza watoto wa watu kibwegebwege na sababu za kikuku-kuku, Kwani utakula kiuno all ur life?, Au utajenga familia huku mnakatika...? Grow up,ur motives are wrong na ndoa zenu zitakuwa wrong milele...! NIMEMALIZA...! #The Cable Guy.
Posted on: Mon, 24 Jun 2013 16:15:39 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015