badilisha maisha yako leo kwa kuamua kufuata yesu kristo aliye - TopicsExpress



          

badilisha maisha yako leo kwa kuamua kufuata yesu kristo aliye hai,,,,,mpende rafik yako,jifunze kuomba msamaha,,usipende kuongea uwongo,,rekebisha kauli yako,,penda inchi yako,,ridhika unachokipata,,usimshtak mwengine kwa uwongo,,post head lines zenye mafanikio au mtazazamo wa maadili mema ya tanzania kuwa msafi kiroho na kimwili,,usimdharau mwenzio wala ucjidharau wewe mwenyewe,,kuwa mwaminifu,,heshimu kaz,,toa sadaka na dhaka ucjiweke kikwazo kwa wengine,,shirikiana na wenzio kweny mgawanyiko wa kaz kwa uaminnifu ni hayo tu munngu awabarik,,,,ameeen
Posted on: Sat, 02 Nov 2013 23:11:48 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015