kamata hizi faida za ujio wa obama ktk nchi yetu na afrika - TopicsExpress



          

kamata hizi faida za ujio wa obama ktk nchi yetu na afrika kiujumala .Atasaidia nchi za afrika kudumisha biashara ya uwekezaji ,alisema mpango mzima ni kuwekeza kwenye nishati ya umeme kwa nchi za kusini mwa jangwa la sahara ili kutatua matatizo mbali mbali ya kiuchumi na kuziaidia nchi hizo kupiga hatua zaidi kimaendeleo,Katika maeneo hayo aliahidi kutoa dola bilioni saba .Mradi mkubwa wa umeme unaoitwa POWER AFRICA unakuja na utakaoongez upatikanaji wa umeme nafuu na wa uhakika utakaochagiza kuongeza uzalishaji na kuongeza ajira.Nchi nyingine zitakazonufaika ni kenya,ghana,liberia,nigeria na ethiopia .Pia amezungumzia na ameahidi kusaidia ukuzaji wa demokrasia na utawala bora,mapambano zidi ya malaria na barabara mpya zinazojengwa ktk maeneo mbali mbali ya nchi,hapa namnukuu "hatutoi dawa bali tunajenga miundombinu ya afya,hatutoi chakula bali kuweze sha nchi kujitosheleza kwa chakula"alisema .sekta ya utalii rais obama alisema watatangaza vivutio vya utalii na kwa kuwa ujangili ni tatizo serikali yake itaisaidia tanzania kupambana na changamoto hiyo,namnukuu "na tutaongeza fedha kuhakikisha hali hiyo inatokomea na hapa ntatoa dola milioni kumi"alisema pia alisema atazungumza na kitengo cha huduma za wanyamapori na samaki cha marekani ili kuisaidia tz kupambana na ujangili unaoleta hasara na uharibifu kwa taifa .Pia mama salma kikwete,mama michelle obama na wake wengine wa maraic walikutana na kujadilina jinsi ya kutetea elimu,afya na uchumi wa wanwake duniani ASANTE OBAMA KWA NEEMA NYINGI HASA YA UMEME,KUJA TZ NI HESHIMA KUBWA KWA NCHI YETU KIBIASHARA,KIUCHUMI NA KIDIPLOMASIA.HAPA UMEIAMBIA DUNIA KAMA TZ NI SALAMA NA WENGINE WANAOTAKA KUWEKEZA WAJE,KAMPUNI YA SYMBIONI YA MAREKANI IZIDI KUZALISHA UMEME ILI TUONE KWA VITENDO.THANKS BIG UP OBAMA,,,,BY HAFIDHI/SIR BENJA WA KG TOWN.SOMA KWA MAKINI HAPO JUU MR.CHEMBE NA WADAU WOTE .
Posted on: Thu, 04 Jul 2013 19:29:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015