kuiga kwingine noma sana, hebu jaribu kufikiri,hivi mtu naakili - TopicsExpress



          

kuiga kwingine noma sana, hebu jaribu kufikiri,hivi mtu naakili zake anaweza kuiga kuishi maisha ya manji au bahresa wakati we choka mbaya. Hii ni sawa na tanzania kuiga msemo wa wazungu wa big result now,wenyewe wazungu walihakikiisha watumishi wao wamewatengenezea mazingira bora mfano mishaharamizuri,nyumba nzuri n a MARUPURUPU MENGINE. WABONGO NAO BIG ESULT NAO WAKATI WALIMU HOI ALAFU UNATAKA WAFAULISHE AU NDO KUWAFUNDISHA KUIBA MITIHANI.HUO NI ULEVI WA WANZUKI UNAKUNYWA HUKU UMEJIFUNGA MIPIRA MIGUUNI KUZUIA NNYA ISITOKE, JAMANI TUACHE BANGI MBAYA HII NCHI WANAKAA WATU TENA WASOMI NA SI MIJUSI
Posted on: Mon, 19 Aug 2013 14:33:37 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015