kuna trend zingine hapa facebook zimenifika koo na SITASIMAMA MOVU - TopicsExpress



          

kuna trend zingine hapa facebook zimenifika koo na SITASIMAMA MOVU YAKITAWALA yaani kila dame ako facebook ako either 18, 19, 20 ama 21years Old! Hehe sijawahi kutana na dame over 21yrs, hehe alafu ukicheki photo ya dame, walahi ni mtu ametosha kutembea na bakora. Nkt, si munanisinya sana, kwani ukiambiana miaka yako utashika mimba..? Ebu hizi tabia ikome ama niwaroge! Kila dame CURRENT CITY ni NAIROBI, hehehe kwani ni Nairobi gani iyo hatujui, si ii Nai ingekuwa imejaa basi! Tutawapeleka JKIA huko muchomeke ndio mrudi kama mumepata adabu nugu izi, kama uko chebarbar, andika chebarz, 2najua huko hakuna Mpesa hata moja!
Posted on: Wed, 07 Aug 2013 13:08:22 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015