mapenzi kweli raha ila halahala yaepuke ndani yake nikaraha sababu - TopicsExpress



          

mapenzi kweli raha ila halahala yaepuke ndani yake nikaraha sababu ya wanawake, watakujaza furaha ujiache kotekote hukuroga kwa fasaha na akili waiteke kumbe huwa ni shabaha ya kukupigia mateke, wakufanyie mzaha wakuteme na mate, ujione km juha bwege asie na lake, huzijali zao raha ww wasikukumbuke, raha yao kumiza ndiyo moyo uridhike, penzi uone usaha usitamani popote, wapi tena utafute wote watakulemaza usimuamini yoyote, watakubeba kwa raha kisha chini wakutupe, wakuache una haha hata pole wasikupe ubaki na majeraha kukuona wasitake, NDO WANAWAKE HAO
Posted on: Sat, 24 Aug 2013 06:37:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015