mimi ni msichana nina miaka 24.niko nje ya bara la Africa - TopicsExpress



          

mimi ni msichana nina miaka 24.niko nje ya bara la Africa kimasomo...mpenzi wangu nimemuacha tanzania.tangu nimeondoka nimegundua rafiki yangu kipenzi yuko karibu sana na mpenz wangu maana karibu mara zote nikimpigia simu mpenzi wangu ananiambia yuko na rafiki yangu na nimsalmie kusema kweli mwanzoni sikuona kama ni vibaya lakn mda unavyoenda nimeanza kupata mashaka.juzi mchumba wangu kanipigia simu akaniambia anaomba ruhusa aende na rafiki yangu kutembelea mbuga za wanyama na watakaa huko week nzima.hivi kama ni wewe ungemjibu nn maana mm nimemwambia anipe muda ntamjibu
Posted on: Fri, 27 Sep 2013 06:11:53 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015