mume na mke wanabishana kuwa kati yao nani ni mwoga? MUME:hebu - TopicsExpress



          

mume na mke wanabishana kuwa kati yao nani ni mwoga? MUME:hebu 2muulize mtoto aseme nani mwoga kat ye2 MTOTO:mama sio mwoga baba joyc huwa anakuja kumwita usiku wanaondoka na anarudi usiku sana wala haogop! LAKINI wewe baba ni mwoga mama akisafir wewe unaogopa kulala peke yako huwa unamwita house girl mnalala wote chumban WOTE WAKABAKI WANATAZAMANA KWA HASIRA KILA MMOJAHAJUI AANZIE WAPI ASEME NINI JUU YA MWENZAKE JE UNGEKUWAWEWE UNGEFANYAJE?
Posted on: Wed, 30 Oct 2013 09:36:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015