niaje warembo, mko wasupuu sana, naona tumicro-mini mliamua - TopicsExpress



          

niaje warembo, mko wasupuu sana, naona tumicro-mini mliamua hata baridi ikuje na wajukuu wake lazima mtazivaa, btw pia sisi tunafurahi mkivaa hizo mini, atleast tuangalie nani akona manyoya mingi kwa mapaja kama chura, sasa warembo nilikuwa nawaambia hivi, hata kama ni baridi, si muache kuvaa mosquito nets(legings) zimeraruka, akianani unajua inakuanga aibu kuona dame na kakitu kameraruka, alafu pia kama ni kuvaa izi mosquito nets vaa na viatu zinamatch kama 2le condom shoes,2le 2viatu 2nauzwa pair tatu 15bob, huto tuviatu umatch sana na legings, lakini sasa ukivaa legings skirt refu ya jeans na heels si utakaa mwalimu jini. Shindeni poa warembo
Posted on: Wed, 26 Jun 2013 08:39:56 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015