nipo zangu kitaa nimekula bukta yangu ya kayumba chin nimepiga - TopicsExpress



          

nipo zangu kitaa nimekula bukta yangu ya kayumba chin nimepiga mabuti yangu ya shamba alafu nikamalzia na snap bak yangu ya ccm natembea zangu barabaran kuna demu anamashauz huyo pale kitaan kwetu akapita mbele yangu akaangusha wallet yake nikawa namwita anajifanya asikii akaamua kupanda boda boda ili anikimbie vizur sasa sijui huyo mwenye boda boda atamlipa nin wacha hiz ela nikajinywee supu na chapat kwa mama neema
Posted on: Thu, 27 Jun 2013 05:46:24 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015