pewa patkoo mbili na ngumu kama: umewai iba shati ya mono - TopicsExpress



          

pewa patkoo mbili na ngumu kama: umewai iba shati ya mono ukiwa seco ulikuwa na mattress kama tano form four umewai oga passport ukiwa seco umewai endea uji ma mkebe ukiwa seco ulikuwa unaomba viatu na trao ukienda funkie chuo ya madem umewahi piga barua marashi ukitumia dem yako umewahi itwa hapo mbele ya parade na princi umewahi copy and paste homework class mzima umewahi jifanya mgonjwa ndio nurse akuandikie note ndo ukulage special ukiwa chem lab ulikuwa unamix ma chemical ka zote pamoja kama basi ya chuo karibu ikuwache ukiwa disco nairobi show kama umewai osha shati ya chuo collar pekee... haukuwa unaenda prep ya asubui na ukienda ni kudoze mbaya umewai kula fare ukabaki ukikopa mwalimu umewai iba text book ukauza fifty bob umewahi.................
Posted on: Fri, 04 Oct 2013 17:49:42 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015