unataka kujua dem anakupenda? then do this; kula maharagwe ya jana - TopicsExpress



          

unataka kujua dem anakupenda? then do this; kula maharagwe ya jana mpaka ufure tumbo...mkiingia kwa kitanda time ya kulala,mjifunike na blanketi mbili nzito nzito from your toes mpaka kwa kichwa so that air cannot penetrate through. nyamba ile mnyambo inatoka na sauti "tsssssss" na harufu yake uchoma mtu macho mpaka mtu anatokwa na machozi. hakikisha aezi breath air outside the blanket. ukiona ananungunika na anakushow anakufa,umshow we are here to die for each other so mwambie atembeze coz she is not ready to die for you. Hii style ilinihelp sana mpaka nikajua wenye wananipenda na wenye hawanipendi na nikawadelete from my lovers book.
Posted on: Mon, 29 Jul 2013 18:40:04 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015