watanzania wenzangu , habari naskitika kuwajulisha kuwa tunarudi - TopicsExpress



          

watanzania wenzangu , habari naskitika kuwajulisha kuwa tunarudi kwa kasi ya ajabu kuelekea ukoloni, safari ya obama imesababisha watoto wasiende shule , wafanyakazi wasiende kazini , tafakari tumepata hasara kiasi gani , leo obama anatujoki no free lunch in usa tunacheka wakati tumetukanwa ,wangapi wamekula chakula cha bure leo fikiria waliojipanga barabarani, wangapi watalipwa mishahara bila kufanya kazi , je msaada tutakaopata unalingana na heshima na faida ambayo tungepata kama tungefanya kazi wenyewe?today we are on time of scramble and partition for tanzania nawasilisha
Posted on: Tue, 02 Jul 2013 19:09:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015