( بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ - TopicsExpress



          

 ( بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيْمِ ﴿1:1 1. KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU. .........* 1. Sura inaanza kwa Jina la Mwenyezi Mungu ambaye hapana anayefaa kuabudiwa ila Yeye aliye sifika kwa kila sifa za ukamilifu, na ametakasika na kila la upungufu. Yeye ndiye Mwenye rehema ambaye ananeemesha kwa neema kubwa na ndogo, na za kuwapa wote, na za kuwapa walio khusika. Na Yeye ndiye mwenye kusifika kwa sifa ya Rehema yenye kudumu. (Kauli ya mwanzo aliyo semezwa Mtume s.a.w. na kuamrishwa na Mwenyezi Mungu ni Iqra` bismi Rabbika, yaani: Soma kwa jina la Mola wako Mlezi! Naye Mtume s.a.w. amesema: Jambo lolote lisilo anziwa kwa Bismillahi ni pungufu. Kila Sura ya Qurani, isipo kuwa Sura Attawba, imeanziwa kwa Bismillahi Rrahmani Rrahim.) ********TARJUMNA M SAHAFU WA SHEIKH .AI MUHSIN (ALLAH Y RHAMU)************ --------------------------------- (1:1) In the name of Allah, the Merciful, the Compassionate *1 ----------EN----------------- *1 One of the many practices taught by Islam is that its followers should begin their activities in the name of God. This principle, if consciously and earnestly followed, will necessarily yield three beneficial results. First, one will be able to restrain oneself from many misdeed, since the habit of pronouncing the name of God is bound to make one wonder when about to commit some offence how such an act can be reconciled with the saying of Gods holy name. Second, if a man pronounces the name of God before starting good and legitimate tasks, this act will ensue that both his starting point and his mental orientation are sound. Third - and this is the most important benefit - when a man begins something by pronouncing Gods name, he will enjoy Gods support and succour; God will bless his efforts and protect him from the machinations and temptation of Satan. For whenever man turns to God, God turns to him as well.
Posted on: Tue, 08 Jul 2014 08:49:38 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015