1.Mungu ibariki Afrika, Dumisha uhuru na umoja, Wake kwa - TopicsExpress



          

1.Mungu ibariki Afrika, Dumisha uhuru na umoja, Wake kwa waume na watoto, Mungu ibariki,Afrika na watu wake. Ibariki Afrika *2 Tubariki watoto wa Afrika 2.Mungu ibariki Tanzania, Wabariki viongozi wake Hekima umoja na amani Mungu ibariki,Tanzania na watu wake Ibariki Tanzania*2 Tubariki watoto wa Tanzania Nimeandika wimbo huu kumkumbusha kila mmoja kuwa jukumu la kuilinda amani ya nchi yetu halimo mikononi mwa viongozi wetu wawe wa kidini ama kisiasa.Mimi Naziru K Luther,naipenda sana nchi yangu na niko tayari kuilinda amani ya nchi yangu kwa gharama ya uzalendo wa kweli na uwajibikaji.,utu wema na uaminifu maana uraia wangu si UCHADEMA au UCCM bali ni UTANZANIA.
Posted on: Sun, 25 Aug 2013 12:46:07 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015