AL SHABAB WAMESAIDIA KIASI KIKUBWA KUPUNGUA KWA MAASI EAST AFRICA - TopicsExpress



          

AL SHABAB WAMESAIDIA KIASI KIKUBWA KUPUNGUA KWA MAASI EAST AFRICA watu wengi sasa wanaogopa kwenda kwenye makumbi ya starehe (DISCO) na maBAR kwa kukhofia kushambuliwa na al shabab hususani kenya na uganda, Tanzania napo wanajaribu kuimalisha ulinzi kwenye majengo ya kifahari pale mlimani city haruhusiwi mtu kuingia mpaka akaguliwe juu mpaka chini, Na rais wa uganda museven ameagiza mitaa yote ya uganda zifugwe camera za video na tayari kampuni kutoka china imeshachukua tender hiyo. Na mpaka wakristo kenya na uganda wanaogopa kwenda kanisani, kwa kweli tunawashukuru sana al shabab kwani vijana wetu siku hizi wanarudi nyumbani mapema siyo kama zamani mtoto anarudi saa 8 usiku ukimuuliza anatoka wapi anasema anatoka disco.
Posted on: Sat, 19 Oct 2013 08:12:43 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015