Asalam aleikum ndugu zangu tumshukuru maulana kwa kutuamusha kwa - TopicsExpress



          

Asalam aleikum ndugu zangu tumshukuru maulana kwa kutuamusha kwa siku ya leo ni wengi walikua wanatarajia kuona siku ya leo lakin Allah akuwawezesha kona hii siku ya leo...Allah twakuomba unusuru wale walio hospitalini na uwatole hayo magojwa inayo wasumbua na uwape shiffa iliwapone kwa haraka Allah nakuomba utujaalie tuwe wenye kufwata njia ilionyooka nautuongoze tuwe wenye kukuabudu na kwa njia ilio faa...nawatakieni muwe na siku njema na hapo ulipo uwe mwenye kupata riski ya halali inshaallah.
Posted on: Sat, 22 Jun 2013 04:19:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015