COMMERCIAL BREAK **************** 1. Ukiona mtoto anatumwa - TopicsExpress



          

COMMERCIAL BREAK **************** 1. Ukiona mtoto anatumwa na harudishi change. Huyo atakuwa Makanga. Just encourage him. 2.Ukiona mtoto anaitwa na haitiki, huyo atakuwa waiter, just encourage him 3.Ukiona mtoto kila saa ni Kisirani, huyu atakuwa Kanjo just encourage him. 4.Ukiona mtoto ana slap tutoto tudem twa mtaani huyo atakuwa Governer wa Nairobi waschana wa Nairobi wana panganga just encourage him.! 5. Ukiona mtoto analialia ovyo ovyo just encourage him he will become a deputy president. 6. Ukiona mtoto ...............
Posted on: Fri, 13 Sep 2013 06:38:05 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015