"Chama cha mapinduzi kitakapobadili sera yake ya Muungano wa - TopicsExpress



          

"Chama cha mapinduzi kitakapobadili sera yake ya Muungano wa Serikali mbili, sera yake mpya itakuwa sera ya Muungano wa Serikali moja. Chama cha mapinduzi chenye wanachama wenye akili, na ukweli, na ujasiri, hakiwezi katu kukubali sera ya serikali tatu, kikijua wazi wazi kwamba matokeo na shabaha ya sera hiyo ni kuiua, na kuizika Tanzania. Chama cha mapinduzi kikiwa na msimamo huo na wala kisiuonee haya, Tanzania itadumu" (Nyerere J. K (1994) Uongozi wetu na Hatma ya Tanzania).
Posted on: Thu, 29 Aug 2013 12:19:13 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015