Eti kati ya hawa yupi hamnazo? - TopicsExpress



          

Eti kati ya hawa yupi hamnazo? @JOSEPH@ Anamwagia bustani wakati inanyesha! @PAUL@ Kapanda juu ya mwembe kagusa embe kaona limeiva kashuka kaanza kulitungua kwa mawe! @MWANAID@ Anaosha sabuni ya kipande kuondoa povu! @JACKSON@ Ajificha kichakani kuona gari ya tigo eti kisa ana deni la tigo niwezeshe! @MWAKALELI@ Ajinyonga kisa kaskia tangazo kua kesho ni siku ya UKIMWI akijua nae ataupata!HEBU NISAIDIENI MKALI WA KUFIKIRI.
Posted on: Thu, 28 Nov 2013 04:32:41 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015