Extremity of sour relation between Presidents Kikwete of Tanzania - TopicsExpress



          

Extremity of sour relation between Presidents Kikwete of Tanzania and Kagame of Rwanda, Tlent Netwrk wrote "Rais wa Tanzania una kazi kubwa ya watu wako, Kagame atakupasua kichwa. Atakuelezea kuwa unajipendekeza kwake na baadaye kutamba kuwa unamuogopa. Achana na huyo shughulikia rushwa, huduma mbaya mahospitalini, boresha vyanzo vya maji siyo mashimo(visima), elimu duni, mabarabara ya mavumbi, himiza uandikaji wa katiba mpya badala ya hii ya kisanii, himiza kuanza kwa teknologia zetu wenyewe kutaja machache tu. Kagame? Unashughulika na Kagame? Kweli Rais wangu una muda wa kumwaga. Good luck in pursuing reconsiliation. Museven na Pinda wanakupoteza. Period!"
Posted on: Thu, 05 Sep 2013 12:03:05 +0000

Trending Topics



div>
"sttext" style="margin-left:0px; min-height:30px;"> KIRGINIM bu akşam... ODAMDAYIM yine , ışıklarımı kapadım.
◆◆ Bocorkan Pada Skuat MU, Rooney Ingin Ikut Ng*p*t Bersama
Beautiful American Pronghorn. Its the fastest running mammal in

Recently Viewed Topics




© 2015