Hahahaa. [^_^]☆ NIMEKUTANA NA BESHTE YANGU AFTER MIAKA - TopicsExpress



          

Hahahaa. [^_^]☆ NIMEKUTANA NA BESHTE YANGU AFTER MIAKA MINGI… YEYE : Hey, unajua nilioa! MIMI : Maze si hiyo ni poa! YEYE : Hapana. Bibi ni sura mbaya kama kifua ya kunguni! MIMI : Oh! Maze hiyo ni mbaya! YEYE : Zii...hiyo ni poa coz ako na pesa mingi sana. MIMI : Then maze hiyo ni poa sana! YEYE : Maze imagine na haezi nipea hata one bob. MIMi : Maze hiyo basi ni mbaya. YEYE : Zii, hiyo ni poa sana! Alininunulia hii gari na nyumba kubwa poa Runda Estate! MIMI : Basi hiyo ni poa mtu wangu. YEYE : Zii, si poa, maze hauskii nyumba ilichomeka bana! MIMi : Basi mtu wangu hiyo ni mbaya. YEYE : Zii, hiyo ni poa! Alikuwa ndani ya nyumba! Lmao.
Posted on: Mon, 01 Jul 2013 08:44:08 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015