I think the government should do something about food and culture - TopicsExpress



          

I think the government should do something about food and culture abuse in our neighbourhoods. Jana tumekuwa na referendum kama tununue mursik ama tusinunue.YES ikashinda and no one voted for NO!!! Na ndio maana kuna vote of no confidence with the election governing body. Landslide victory haikumaanisha ikue sana hivo?Sana sana first round. Any way, kufika kwa dairy, the lady mwenye alikuwa anauza hapo hakuwa na feature zozote za kinandi. Haidhuru tukamuuliza kama mursik iko… akasema iko. Kumuhoji hoji about the quality, aliitetea kama Mandela akiitetea Afrika Kusini. Wacha tufike kwa nyumba.Wa kuwasha jiko aliipepeta iko tower ya moshi mpaka wamaasai wa Olooloua na Kerarapon area wakadhani ni signal ya mawasiliano. At the same time, alikuwa ana whistle reggaetone version ya taunet ne lel na akamalizia na fagilia ile ya Mr.Nice. Ugali iliivaa tho faster,saa ya kula,mboga iliisha immediately, ama ghafla bin vuu.Tukafikia sasa the favourite part…ah? Kupiga sip ya kwanza, macho ya left ilifunga bila kutarajiwa.Na jaws zika freeze.Na machozi yakatulenga kimalenge malenge Hii maziwa kwa kinandi inasemwa ilikuwa “mindilil”…Ah Ilikuwa kali sana, yaani “mindilil missing!!!” Tulilala na huzuni..hivo na ndio maana naskia saa hii ni kama tumbo yangu ni ya leopard..yaani iko na madoa doa. Nje na wala sio ndani…sembuse ndani.
Posted on: Tue, 30 Jul 2013 20:02:10 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015