Ili kusimamisha mgomo wa walimu, naomba serikali iongeze bei ya vyakula kama ifwatavyo: unga 2kgs @ ksh 500 sugar 1kg @ ksh 500 bread 400g @ ksh 200 cooking fat 1kg @ ksh 500 salt @ ksh100 per packet tomato fruit @ ksh 50 each mwisho pombe yote ishushwe bei na bangi ihalalishwe kwa sababu miraa imekataliwa na UK. Watu walewe ndo wasikule sana kwani mnadhani pesa za kulipa walimu wote hao zitatoka wapi?! walimu sio mia mbili kama wabunge ndo muuli KWA NINI WABUNGE WALIONGEZWA MSHAARA??? nyef! nyef!.
Posted on: Fri, 05 Jul 2013 14:54:27 +0000