Inabidi tufikie wakat tumtakie kila la kher JUMA KASEJA KTK - TopicsExpress



          

Inabidi tufikie wakat tumtakie kila la kher JUMA KASEJA KTK kufanikisha usajil wake wa kuitumikia CLUB YETU YA DAR YOUNG AFRICANS.....na kumuomba kwamba UONGOZ NA BENCH LA UFUNDI WAMEMKUBALI TAFADHALI TUNAOMBA AONYESHE USHIRIKIANO......AFANYE KAZI KWA BIDII ILIOMLETA,AJARIBU KUBADILIKA ASAHAU YALIOPITA NA TUGANGE YAJAO KWAN YANGA NI TIMU YA WANANCHI KWAHIYO ANAPASWA KUTAMBUA YA KUWA ANAZUNGUKWA NA UMATI MKUBWA SANA WA WANACHI..........NASI TUNA MUAIDI AKIFANYA KAZI KIUFASAHA TUTAENDA SAWA LKN AKIZINGUWA HATUTA ELEWANA........YOUR WELCOME JUMA K JUMA IN DAR YOUNG AFRIKANS SPORTS CLUB........DAIMA MBELE NYUMA MWIKO...........Nimekuelewa shekhe MANSURY ya kwamba nafasi ya golikipa hsiwezekan kujazwa na kipa wa kigeni wakat tuna tatizo kubwa la mtu wa mbele....na nafas tulionayo ya mchezaji wa kigeni ni moja tu...........
Posted on: Sat, 09 Nov 2013 18:53:00 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015