Jamani Mimi sijui Rangi za bendera za vyama vya siasa vya marekani yaana Republican, na Democrat. Wakati wa kampeni Wamarekani walikuwa wanabeba bendera ya nchi wakiuweka mbele utaifa wao kwanza na si vyama . Sisi vipi tuna matatizo gani hata mambo ya kitaifa tunataka kuonyesha itikadi zetu. Watanzania tuijali zaidi nchi yetu na viongozi wanaofanya mambo kwa maslahi yao na vyama vyao tuwakatae tutakuwa salama.
Posted on: Sun, 14 Jul 2013 05:51:52 +0000
Trending Topics
Recently Viewed Topics
© 2015