Jamani ma friends naomba mmshauri huyu binti anaitwa Rachel akiwa - TopicsExpress



          

Jamani ma friends naomba mmshauri huyu binti anaitwa Rachel akiwa fom 2 alikutana na kijana mmoja anayeitwa god walipendana sana na alikuwa meanaume wa 1 kwake alifanya kila kitu ili mradi aendeleze uoendo mpaka akafikia hatua ya kupewa sunspesion kwa ajil ya mpenzi wake huyo waliendelea mpaka binti akamaliza shule akaenda teaching college huku mapenzi yakiwa moto akamaliza akaanza kazi akapata likizo akafunga safari kutoka mwz mpaka arusha kwa mpenzi wake aliyoyakuta ni majanga akakuta mwanaume ameoa na ana mtoto lakni akamdanganya racho kuwa huyo binti hana mahusiano naye recho akaamin wakaishi mpaka january 2011 ila mwaka mpya huo god alilala nje akarudi Saa nne asubuhi kuulizwa .akawaka ikawa ndo kawaida yake recho akamua kufanya uchunguzi akagundua mpenz wake huyo anawatoto 2 na wanawake kibao nje mwanaume akakubali na kuomba msamaha akasamehewa coz recho alimpenda aliendelea kumwamini ilipo fka mwz 6 alimpeleka mpenziwe kumtambulisha kwao wazazi wa recho walifurahi na kumpokea vizuri mkwelima huyo.Baadae walienda kujitambulisha kwao mwanaume alipokelewa vizur lakni kwakuwa god alitakiwa kuwahi kurudi kazini alimwacha binti kwao binti aliteseka sana pale kwakuwa ni ugenin alivumilia alitafuta nauli na kwenda kwa mumewe aliyoyakuta alijuta kumpeleka god kwao alivumilia lakn god hakuacha tabia yake ya kulala nje ya kuwa na mabinti kibao recho alichoka na kuamua kuachia ngazi toka 2011 mpaka leo ndo mwanaume huyo anarudi kuomba msamaha bila kujali ni aibu gani recho aliipata kwa wazazi wake.jaman mmshaurri recho afanyeje?
Posted on: Mon, 25 Nov 2013 09:32:19 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015