Kama Ungependa Kushiriki katika Fundrising Campaign kwa kutumia - TopicsExpress



          

Kama Ungependa Kushiriki katika Fundrising Campaign kwa kutumia https://indiegogo/projects/community-owned-computer-lab-in-tanzania waweza kufanya yafuatayo. Bofya link hiyo hapo juu na ukifika kwenye ukurasa wa Campaign bonyeza palipo andikwa Contribute now na kisha weka kiasi cha pesa unacho taka Changia, Chagua Perk (Perk ni Zawadi kwa watakao Changia) Kama hauna haja ya zawadi Bofya CONTINUE ingiza email address yako Bofya CONTINUE na kisha chagua njia utakayo penda kutumia katika kulipa. Kama hauna Paypal Account unaweza kuweka Namba ya Bank Card yako inayo patikana mbele ya ATM Card yako, iwe ni Visa au Master na umei-activate ili iwe inaweza kufanya Transaction online. kisha ingiza Security Code yako.
Posted on: Thu, 18 Jul 2013 00:27:31 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015