Kama kwel tunania nzuri ya kutaka kupaa kimuzk wasanii wa - TopicsExpress



          

Kama kwel tunania nzuri ya kutaka kupaa kimuzk wasanii wa sumbawanga inabdi tuwe kitu kimoja bila ivo nathing else bila ivo hawatazd wawil watatu zaid ya wale wanaoskika pia maproduza ni jambo la maana sana kama nimemsikia ditach akiwaomba josebraiz ,stevee ross na wengneo waungane ili wawe kitu kimoja ni jambo zur lifanyien kaz licha ya bifu za hapa na pale haya nikawaida kwa mwanadamu lazma kwalo zitokee,zaid kinacho tukwamisha wasanii wa mkoa wa rukwa ni ubinafs ndan ya mioyo yetu watu bdo hawana ile push up after me,pia kuna majungu sana baina ya wasanii maneno maneno yasiyo namantik kusemana sio mchongo yaani mtu ova kala pilipil atafka hapa atasema iv akienda pale mara vile at du,na kuna baadh ya wasanii wanawadharau nakuwatukana maproduza wao licha ya kurekodiwa trak zao bure sio ivo time inabd msanii na madj wa pande zetu kama hakuna ushirikiano we na presenta so ngoma yako itachezwa wap navojua msanii ni rafk wa presenta maelewano yasipokuwepo hakuna lolote matus sio mazur tuachen ujinga tumeshakuwa tufanye mchakato tuungane il tuwe kitu kimoja bila ivo aliepo atabak kuwapo asiepo na lake halipo kwan najua kuna wasanii wanaoweza zaid na zaidi nawapo ambao ambao wamekosa media pia wengne hawana studio pay xo kwa kuungana wote hawa tutafka nawenye kuelewa mmeelewa wenye utoto ndan yenu kaongeen yenu pemben big all artist in sumbawanga na maproduza wake pigen kaz wajnga acha nen nao byee
Posted on: Sat, 27 Jul 2013 08:33:03 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015