Kuna wengine wenzangu na mie tunalipa deni na tuna kopa deni, - TopicsExpress



          

Kuna wengine wenzangu na mie tunalipa deni na tuna kopa deni, daaah kama hii hii inshu ikipitishwa hata sijui itakuaje??? TZ tunaelekea wapi?? Sakata la kodi ya Simcard: Rais Kikwete aingilia kati! - Aagiza mamlaka zote husika zikae chini kutatua haraka mzozo wa kodi ya sim card ili kumaliza malalamiko ya wananchi. - Rais ametoa agizo hilo leo alipokutana na viongozi wa wizara ya fedha, sayansi mawasiliano na teknolojia, TCRA na wawakilishi wa makampuni yote ya simu Tanzania.
Posted on: Wed, 24 Jul 2013 03:26:47 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015