Makamo Mwenyekiti Phillip Mangula anapendekeza Serikali Moja - TopicsExpress



          

Makamo Mwenyekiti Phillip Mangula anapendekeza Serikali Moja hajakaripiwa wala kufukuzwa kwa kuwa huo ndio SERA YA CCM. Ester Bulaya [Mbunge] anapendekeza Serikali 3, hajakemewa wala kukaripiwa na hajafukuzwa, ijapokuwa sio SERA YA CCM. Mbunge Beatrice Shelukindo, Serikali 3, nae mambo ni hayo hayo kwa CCM Tanganyika, Naibu Speaker, pia ni Mbunge na Mwanachama wa CCM Ndugai, yeye anapendelea Serikali 3. CCM Zanzibar kulikoni?! mnachinjana wenyewe kwa wenyewe! Kazi kweli kweli sio bure [Serikali ya Umoja wa Kitaifa].
Posted on: Wed, 28 Aug 2013 06:50:46 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015