Mbona machali wakale ambao wametahiriwa wanapenda kuharas maboy - TopicsExpress



          

Mbona machali wakale ambao wametahiriwa wanapenda kuharas maboy hawajatairi. Mimi naona ni ujinga, ungetai na umama kwa mwanaume ametahiri kuharass mtoto mdogo. Na imagine ni brother yake? Ndio nawaambianga hiyo utamaduni yenu haiwasaidii hata kidogo. Najua kuna maana ya kuharass but jameeni, we only do it kwa wale wanakataa kwenda, si kila mtu. Ukipata jamaa anaharass mjaluo na unajua sio mila yao kuenda. Aki munaniboo sana, hakunanga tofauti between a circumcised man and the uncircumcised one, only hygine. Kwanza madame wanaprefaa wajaka kuliko nyinyi. Ebu ongea mbaya ugongwe #sunguch
Posted on: Sun, 18 Aug 2013 08:23:49 +0000

Trending Topics



Recently Viewed Topics




© 2015